Reference Materials on Devolution

Matayarisho Fedha na Bajeti ya Serikali ya Kaunti

Kila mwananchi ana jukumu ya kuhusika na matayarisho ya Bajeti za serikali ya Kaunti yake. Wananchi wote wana haki ya kujua jinsi serikali inavyotumia fedha zetu. Kwa sababu fedha za umma ni fedha ya raia wote zimetokana na ushuru wanaolipa wananchi wa Kenya kama vile ushuru wa mapato, VAT na ushuru wa mauzo na bidhaa zinginezo tunazonunua kila siku. Fedha za umma pia zinajumuisha mikopo na misaada inayopokelewa na serikali kwa niaba ya mwananchi. Serikali haina fedha zake binafsi, fedha zote ni za raia wa Kenya na husimamiwa na serikali kwa niaba ya wananchi.

Intented Users: All

Download or Open Matayarisho Fedha na Bajeti ya Serikali ya Kaunti below.

View / Download Document [pdf]